From
To

Lakeside School

LAKESIDE ENGLISH MEDIUM PRE AND PRIMARY SCHOOL
Ni SHULE ya kisasa yenye walimu mahili na wenye uzoefu wa kufundisha wanafunzi kwa weredi wa hali ya juu. Shule hii ina mazingira tulivu ya watoto kujiandaa na masomo yao hai nyakati za kutwa. Rai kwa wazazi wa watoto ni kuwaleta wanao Lakeside School ili wapate elimu bora inayomwandaa mwanafumzi kwa ajili ya masomo yake ya baadaye na kumfanya raia mwema wa nchi yao.
Lakeside ni shule ya kutwa pekee.
Shule hii ipo karibu na mji wa Kibara, Bunda,Mara, Tanzania.
Shule ina vifaa vya kisasa kabisa kama Computer, Printers, Pads kwa ajili ya matumizi ya wanafunzi na Walimu.
Shule ya Lakeside ipo pembezoni mwa Ziwa Victoria.
Lakeside School inakukumbusha kuwa ina Ada nafuu anayoimudu mzazi kwa kulipa kwa awamu nne.
Shule hii ina maji safi na Salama yaliyotibiwa na yanapatikana kwa wakati wote.
Shule ina huduma bora ya chakula kama wali na maharage, Ugali na samaki pamoja na matunda na mbogamboga.
Shule ina viwanja vya michezo yote ya watoto ili kujenga vipaji vyao kutoka umri mdogo.
WASISLIANA NASI KUPITIA
SIMU: 0762609999
0768 963 712
EMAIL: [email protected]
P. O. Box 56 Bunda, Tanzania.
articles 3481 views Sun. 22nd Dec 2024 1:57am Z

Mitihani

Mitihani ya Midterm Inaanza tarehe 23 March 2024
events 2943 views Sun. 22nd Dec 2024 1:57am Z
Portal Powered By SchoolViewers